Mume wa marehemu Loveness Ndibalema, Ngemera Ndibalema akipita kwenye jeneza la mkewe wakati wa kuuaga mwili nyumbani kwake Forest jioni hii. |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na Mkewe wakiweka shada la maua juu ya kaburi la Mama Ndibalema leo jioni. |
Watoto wa kiume wa Mama Ndibalema wakiwema shada la maua juu ya kaburi la mama yao |
Mama Mzazi wa Mama Ndibalema akiweka shada la maua juu ya kaburi la mwanaye |
Mchezaji wa timu ya Prison akiwakilisha wachezaji wenzake kuweka shada la maua juu ya kaburi la Mama Ndibalema. |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya familia yake wakati wa maziko ya Mama Ndibalema. |
Mtoto mkubwa wa marehemu Mama Ndibalema, Angela akiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake. |
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akiweka shada la maua juu ya kaburi la Mama Ndibalema leo jioni |
Mchungaji wa kanisa la EAGT Athanas Kamili akiendesha ibada ya mazishi |
Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Charles Mwakipesile akiweka shada la maua kuwawakilisha CCM mkoa wa Mbeya. |
Post a Comment
Post a Comment