Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo, Mwanamvua Mrindoko
Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo, Mwanamvua Mrindoko (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto Ofisa Ardhi na Maliasili wa wilaya hiyo, Cheyo Nyelege na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba.
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe, Adamu Ng'imba (wa pili kushoto) akiwa meza kuu na viongozi wengine.
Baadhi ya madiwani na maofisa wa wilaya hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Baadhi ya wazee wa wilaya hiyo wakiwa kwenye mkutano huo.
Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele (katikati), akitoa ufafanuzi kadhaa kwa wanahabari. Kulia ni Mwanasheria wa wilaya hiyo, Allen Ndomba na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo, Mwanamvua Mrindoko.
Wadau mbalimbali wa Wilaya hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi huo. (Imeandaliwa na mtandao wa http:www.habarizajamii.com)
Post a Comment
Post a Comment