|  | 
| Christian Mwakyembe(68) enzi za uhai wake | 
|  | 
| Mwandishi wa habari wa gazeti la Raia Mwema Felix Mwakyembe akiwa na watoto wa marehemu kaka yake mara baada ya kuwasili kijijini Ikolo wilayani Kyela kwa ajili ya mazishi. | 
|  | 
| Waandishi wa habari (TAJATI)wakishusha mwili wa Christian Mwakyembe kwenye nyumba yake ya milele kijijini Ikolo Kyela mkoani Mbeya. | 
|  | 
| Waandishi na wanachama wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI)wakimfariji mwanachama mwenzao Felix Mwakyembe ambaye amefiwa na kaka yake. | 
|  | 
| Mwandishi Venance Matinya akiliweka vizuri jeneza la mwili wa marehemu Christian baada ya kushushwa kaburini | 
|  | 
| Mwandishi wa habari Festo Sikagonamo akisaidia kutoa huduma ya kugawa chakula kwenye msiba wa Christian Mwakyembe kijijini Ikolo jana. | 
|  | 
| Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao jana | 
|  | 
| Dkt. Harrison Mwakyembe katikati akiwa na ndugu zake wakiweka shada la maua kwenye kaburi la kaka yao Christian Mwakyembe kijijini Ikolo Kyela jana. | 
|  | 
| Mke wa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipokea shada la maua kutoka kwa Dkt. Mwakyembe wakati wa mazishi ya kaka yake Dkt. Mwakyembe kijijini Ikolo jana. | 
|  | 
| Wanachama wa chama cha Waandishi wa habari za Utalii na Uwekezeji (TAJATI) wakimuaga mwanachama mwenzao Felix Mwakyembe baada ya mazishi ya kaka yake Kyela jana jioni. | 






Post a Comment