Ads (728x90)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na waamuzi wa mchezo kati ya Mbeya City na Prison kabla ya kuanza kwa mechi hiyo mwishoni mwa wiki Prison walitoka kifua mbele kwa Bao 1-0



Kocha wa Mbeya City Juma Mwambusi pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa katika benchi la ufundi kabla ya mechi ya Mbeya City na Prison mwishoni mwa wiki Prison waliifunga Mbeya City bao 1-0

Kikosi cha Prison ambacho kimenusurika kimeokolewa na kubaki na matumaini ya kuendelea kuwepo kwenye ligi kwa kuwa na jumla ya point 28 baada ya kuwafunga ndugu zao Mbeya City bao 1-0.



Post a Comment

Post a Comment