Wapanda Baiskeli kutoka Mbeya wakiwa wamewasili Jijini Dar es salaam |
Wakiwa wameshikana mkono kuonesha mshikamano na Umoja bada ya safari ndefu iliyochukua siku 8 kutokea Jijini Mbeya hadi Dar es salaam |
Kiongozi wa msafara huo Wiseman Luvanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam |
Baiskeli zilizotumika kwa safari zaidi ya km 800 kutokea Jijini Mbeya hadi Dar es salaam |
Wapanda baiskeli kutokea Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Sadick na baadhi ya viongozi wa mkoa huo |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akitoa nasaha kwa vijana hao baada ya kuwasili Jijini Dar es salaam |
Post a Comment
Post a Comment