Meneja Mauzo na Ufundi
wa Lafarge Tanzania, Emil Sindato akitoa mafunzo kwa wafyatuaji matofali wa
mkoa wa Mbeya kuhusu matumizi sahihi ya na namna ya kuchanganya saruji ya
Supaset ambayo ni mahususi kwa ufyatuaji matofali na zege ili kupata matokeo mazuri
hasa uimara wa majengo na kuweza kuata faida kibiashara. Mafunzo hayo
yalifanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya. (Na Mpiga Picha Wetu)
The Lafarge Tanzania Technical Sales Manager, Emil Sindato
conducts training to Mbeya region precasters on correct usage of the Supaset, a
higher strength cement for block making and concrete to produce long lasting
structures and maximise profit. The training was conducted over the weekend in
Mbeya. (Photo: Our Staff Photographer)
Post a Comment
Post a Comment