Hali ya hewa ya mvua, baridi na ukungu haikuwazuia kuendelea kufanya mazoezi ili kujenga afya na akili |
Mandhari ya juu eneo la Chunya |
Baadhi ya waandishi wa Habari wa TAJATI wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa vyombo vya habari na wasanii wanamichezo Tanzania Streets Work Out kwenye stendi ya Mabasi ya Nane Nane |
Zola D King na Mwarabu Fighter wakishiriki matembezi ya hiari kuhamasisha wananchi kufanya mazoezi,kutembelea vivutio vya ndani na kufanya usafi |
Safari inaendelea |
Wakiendelea kukatisha mitaa ya Jiji la MBEYA kuhamasisha kufanya mazoezi, kutembelea utalii wa ndani na kufanya usafi wa mazingira |
Msafara unaendelea haaooo wakikatisha mitaa kuwahamasisha wananchi kufanya usafi, kufanya mazoezi na kutembelea vivutio vya utalii |
Mchaka!! mchaka Chinjaa!!! ndivyo ilivyokuwa kwa wanahabari wa TAJATI, Mkuu wa wilaya, wadau na Tanzania Streets workout |
Mwendo Mdundo bila kuchoka safari ianendelea |
Msafara uliowahusisha wanahabari wa TAJATI, wadau, Tanzania Streets Workout na mkuu wa wilaya ya Mbeya uliendelea |
Katika maeneo mengine msafara ulilazimika kusimama na kusaidiana na wananchi kufanya usafi kama inavyoonekana pichani |
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyerembe Munassa akishiriki katika usafishaji wa mitaro eneo la Mwanjelwa akiwa ameambatana na wanahabari wa TAJATI na wasanii wanamichezo Tanzania Streets Workout |
Kama ilivyo ada katika eneo la Kabwe Mkuu wa wilaya Mbeya Nyerembe Munassa akashiriki katika kufanya usafi karibu na dampo lililopo eneo hilo |
Msafara huu ulichombezwa na hamasa kwa wananchi kujitokeza kufanya mazoezi wka kupiga Push Up barabarani |
Post a Comment
Post a Comment