Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla akiwa na Katibu Tawala wa mkoa Mariam Mtunguja |
TANGAZO
Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya Amos Makalla anawatangazia wakazi wa mkoa wa Mbeya kuwa utaratibu
aliojiwekea wa kukutana na wananchi kusikiliza kero zao uko pale pale.
UTARATIBU
MAALUM WA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI UKO KAMA IFUATAVYO;
-Alhamisi ya
wiki ya mwisho wa mwezi Julai atakutana na wananchi kuanzia saa 4:00 Asubuhi
hadi saa 10:00 alasiri.
RATIBA YA
MWEZI AGOSTI 2016
Atakutana na
wananchi na kusikiliza kero za wananchi kuanzia Alhamisi ya wiki ya kwanza ya
mwezi ambayo ni tarehe 4/8/2016 na wiki mwisho
ya mwezi Tarehe 28/8/2016;
Mikutano
yote itafanyika Ukumbi wa Mkapa, Nyote mnakaribishwa.
Imetolewa na Amos
Gabriel Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
Post a Comment
Post a Comment