Hili hapa ni darasa la Tano katika shule moja ya jijini Mbeya hivi ndivyo wanasoma kila siku,huamka alfajiri kuwahi shule kusoma katika mazingira aina hii, na nyie waheshimiwa mlisoma hivi, enzi za Mwalimu ilikuwa hivi?tuambiane ukweli jamani!!!
Burudika, Habarika, Elimika
Post a Comment
Post a Comment