Hawa ni miongoni mwa wanafunzi lukuki nchini ambao wanahitaji kupata elimu, na ndio Mawaziri na wanasiasa wa kesho hawa,Mheshimiwa fulani anaweza kukubali mtoto wake asome katika mazingira ya aina hii, tuambiane tu ukweli hapa,hii ni moja ya shule zilizopo jijini Mbeya tena katikati ya mji na yule nyuma ni mwalimu akiwa na wanafunzi wake darasani, sijui tutafika kwenye maisha bora katika hali hii?.
Post a Comment
Post a Comment