Ads (728x90)

Vijana hawa wa skauti walivumilia wee wakaona loo wanaweza kufa kwa kiu wakaamua kunywa maji kwa kutumia midomo yao katika bomba iliyopo jirani na kambi yao ya skauti iliyomalizika hivi karibuni katika Mkoa wa Mbeya, Maskauti wapatao 400 kutoka mikoa 13 na nchi jirani ya Zambia walishiriki Tanzaree ya sita iliyofanyika Kitaifa mkoani Mbeya.


Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw. Leonidas Gama akioneshwa choo kilichokuwa kinachotumiwa na skauti wakati walipokuwa katika kambi ya Skauti mkoani Mbeya.

'' Hii ndiyo nyumba ye2 ya kulala,hapa tupo katika kujifunza ujasiri na maisha ya kujitegemea na ubunifu'', ndivyo anavyoelekea kuelekea kiongozi huyu wa skauti alipokuwa akimuelekeza Mkuu wa wilya ya Mbeya Bw. Leonidas Gama alipotembelea kambi hiyo hivi karibuni, Ni kama Maisha Plus vile!!!!


Post a Comment

Post a Comment