Mambo ya mtandao yanapopamba moto, hapa fundi maarufu kwa uingizaji wa nyimbo katika simu jijini Mbeya aliyefahamika kwa jina moja la Haidari akiwa kazini na lundo la simu mbele ya Kompyuta yake huku wateja wakiwa wanasubiri kuingiziwa nyimbo katika simu zao.
Post a Comment
Post a Comment