Ads (728x90)

Gari hili aina ya Fuso lenye namba za usajili T 855 ACJ likiwa limepinduka baada ya kugongwa na lori lenye namba za usajili T463 AJW na tela lake T 208 AJW (halipo pichani)na kusababisha vifo vya watu saba na kujeruhi wengine 41.

Fuso hili lilikuwa liko safarini likiwa na watu ambao walikuwa wakitoka mazikoni lilipofika katika mteremkoni kwenye mlima wa Iwambi Mbalizi liligongwa na tela la SCANIA na kuporomoka korongoni kama linavyoonekana pichani kama ilivyopigwa muda mfupi baada ya kutokea ajali hiyo.

Post a Comment

Post a Comment