Wanapendeza Eeehh!!!
Hawa ndio walikuwa baadhi ya wanyange wa Miss KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI wakiwa katika kambi ya kuwania nafasi hiyo jijini MBEYA ambao walishiriki katika kinyang'anyiro hicho mwishoni mwa mwezi uliopita. Mshindi wa kinyang'anyiro hicho alikuwa ni Miss Ruvuma Catherine Letara(24).
Post a Comment
Post a Comment