Katibu Mstaafu CCM Mzee Mangula
Bloga Hawra Shamte wa mnyongemnyongeni.blogspot.com (wa pili kutoka kushoto)akiwa na Katibu mstaafu wa CCM Mzee Philip Mangula na Rais wa TAJA Bw.Hamza Kondo katika moja ya makongamano yaliyowahi kufanyika jijini Mbeya kwa kuwashirikisha waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya.
Post a Comment
Post a Comment