Mazingira hatari nyuma ya shule
Huo ni mto uliopita kati kati ya jiji la Mbeya, na hapa ni nyuma ya shule ya Sekondari Mbeya maarufu kama 'Mbeya Day' na hizi zinazoonekana pichani ni taka taka zilizotuama mtoni na kusababisha maji kuweka makazi yake eneo hili na kuwa makazi maalumu ya mbu ambao ni hatari kwa ugonjwa wa Malaria,hali hii inaonekana na kila mtu lakini hakuna yoyote aliyejitokeza angalau kufikisha jambo hili kwa halmashauri ya Jiji, uongozi wa shule nao unaona jambo hili, nadhani wanasubiri mlipuko wa ugonjwa ndipo wachukue hatua.Huo unaoonekana katika picha ya juu ni ukuta unaotenganisha shule na mto huo.
Post a Comment
Post a Comment