Ads (728x90)


Hii ndio aina yake ya Burudani ya kinywaji mkazi huyu wa kijiji cha Masoko wilayani Rungwe akinywa pombe aina ya Kindi ambayo huuzwa lita moja sh.200, kama alivyokutwa na bloga wetu mwishoni mwa wiki kijijini hapo, lakini unywaji huu huwa ni wa kupokezana bakuli bila kujali hali ya afya ya wanywaji.

Post a Comment

Post a Comment