Ads (728x90)



Nakumbuka maneno ya mtu mmoja aliwahi kusema kuwa siku zote kilichomo ndani ya bahari si haramu, aina yoyote ya kitu kisichotakiwa ndani ya Bahari lazima kitaibuliwa pembeni.

Hii ni miili ya ndugu zetu raia wa Ngazija waliofariki katika wakiwa ndani ya NDEGE na baadaye miili yao kuokotwa pembezoni mwa bahari ya Hindi katika Kisiwa cha Mafia na Kilwa nchini Tanzania

Post a Comment

Post a Comment