Ads (728x90)


Kwa enzi zile ukikutwa tu na Bendera ya Taifa ilikuwa nongwa, ajabu ni kwamba mataifa ya wenzetu yalikuwa yakitumia bendera zao kutangaza utaifa wao, nakumbuka jamaa mmoja aliwahi kuswekwa rumande kwa kuitumia bendera ya TAIFA kama pazia dirishani kwake, masikini jamaa hakuwa na nia mbaya bali ni kuutukuza utaifa wake leo hii bendera hizi zimezagaa kila kona ya nchi wengine huvaa kama vilemba kichwani na wengine hata kushona masweta, haya ni maendeleo.

Post a Comment

Post a Comment