Ads (728x90)

Huu ndio mpaka wa Tunduma unaotenganisha nchini mbili za Tanzania na Zambia, pilika za mji huu zinafanana kabisa na harakati za kila siku za mitaa maarufu jijini Dar es salaam kama vile Kongo na Mtaa maarufu kisiwani unguja maarufu kama Darajani.

Post a Comment

Post a Comment