Rais Kikwete nyumbani kwa Profesa Mwandosya
Umati wa wakazi wa kijiji cha Lufilyo nyumbani kwa Profesa Mark Mwandosya wakishangilia ujio wa Rais Jakaya Kikwete pichani katika ziara yake aliyoifanya kwa ajili ya kuzindua kituo cha kulelea watoto yatima ambacho kinamilikiwa na mke wa Profesa Mwandosya Bi. Lucy Mwandosya.
Wanaosema hawa jamaa hawaelewani mie nawashangaa,au ni wapambe ambao wana nia zao za kiajabu ajabu kutaka kuchonganisha wanasiasa,watu bwana zote ni njaa za wapambe tu, nasikia baadhi yao ni wanahabari cjui kama kua ukweli wa hilo jambo eti?
ReplyDelete