Wabunge wa Mbeya wakijadili jambo
Baadhi ya Wabunge wa jamhuri la Muungano wanaowakilisha mkoa wa Mbeya kutoka kushoto ni Mbunge wa Kyela Dkt. Harrison Mwakyembe,Mbunge wa viti maalumu Bi. Hilda Ngoye, Mbunge wa Mbopzi Magharibi Dkt.Luke Siyame na Mbunge wa Mbozi Mashariki Bw. Godfrey Zambi,hapa walikuwa katika kijiji cha Lufilyo wilayani Ruingwe nyumbani kwa Profesa Mwandosya wakimsubiri rais Jakaya Kikwete ambaye alizindua kituo cha kulelea watoto yatima cha Lucys Hope Center.
Post a Comment
Post a Comment