BIASHARA AU KUJIKIMU KIMAISHA
Mama huyu mkazi wa kata ya Mlowo wilayani Mbozi mkoani Mbeya akiwa na mtoto mgongoni ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja anahaha huku na kule kila siku kukimbilia mabasi yanayofanya safari zake wilayani humo akiuza maji sh.500 kwa chupa moja aliyoshika mkononi,hufanya hivyo akipata ujira wa sh.50(hamsini) kwa kila chupa moja, akina mama aina hii wako wengi katika maeneo hayo na mengine nchini ambao iwapo wakijiunga katika vikundi wanaweza kuwezeshwa na taasisi za misaada ili kujikwamua kiuchumi.
Post a Comment
Post a Comment