MAISHA NI KUHANGAIKA
Mama huyu mkazi wa kitongoji cha Mbalizi Road jijini Mbeya akiwa na mzigo wa kuni ambao akihaha nao katikati ya jiji la Mbeya kutafuta wateja, mzigo mmoja wa kuni huuza kwa kati ya sh.1000 hadi 1500 kulingana na makubaliano na mteja.Akina mama aina hii wapo maeneo mengi nchini ambao huhangaikia kwa kutafuta riziki kwa njia za sulubu, akina mama kama hawa wakiwezeshwa wanaweza kujikwamua kiuchumi
Post a Comment
Post a Comment