Ads (728x90)


Baadhi ya wazee wa mikoa ya Pwani hupendelea kutumia sigareti kama moja ya viburudisho bila kujali madhara ambayo yanaweza kutokea kwa utumiaji wa moshi.

Mkazi wa jijini Mbeya Bw.Pesambili akivinjari kwa mikogo katikati ya Jiji la Mbeya akiwa na Kiko chake mdomoni,Kiko ni moja ya burudani iliyokuwa ikitumiwa sana zamani na wazee maeneo ya vijijini badala ya sigara,
Aidha baadhi ya familia zinaona uvutaji wa sigara ni sehemu ya starehe hata kuamua kuwarithisha uvutaji huo watoto wadogo bila kujali madhara yanayoweza kutokea kwa uvutaji wa sigara

Post a Comment

Post a Comment