Ads (728x90)

Kwa Heri ya Ramadhani, ulikuwa mwezi mwema,
Umetunuku watu shani,Kwa madhambi kuungama,
Mwezi tuliutamani,kama uwe mwaka mzima,
Kwa heri yaa Ramadhani, mwakani tukijaaliwa.

Post a Comment

Post a Comment