Ads (728x90)


Nyumba iliyopo katika kijiji cha Bara wilayani Mbozi ikiwa imebomoka baada ya mti ulio jirani na nyumba hiyo kukatwa bila utaratibu.

Wakazi wa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wakisafarisha magadi kwa kutumia Punda kuelekea wilaya ya Mbozi kwa ajili ya kubadilishana na chakula baada ya wilaya yao kukumbwa na ukame hali iliosababisha wakazi wa wilaya hiyo kula pumba na matunda pori.

Post a Comment

Post a Comment