WAISLAMU HUU NI MWEZI WA KUTUBU KWA MOLA NA KUREJEA KWAKE NA KUMUOMBA MAGHFIRA KUKESHA NA KUOMBA KWA DHATI KWANI HATUJUI SAA WALA WAKATI WA KUONDOKA DUNIANI,YEYE MWENYEZI MUNGU HUPOKEA DUA ZA KILA AMUOMBAYE, HAKUNA APASWAYE KUABUDIWA ILA YEYE AMETAKASIKA NA KILA BAYA HAKIKA SISI NI MIONGONI MWA MADHALIMU WA NAFSI ZETU NA MATENDO YETU.
TUNATAKIWA KUSWALI NA KUMUOMBA ALLAH KATIKA MAZINGIRA YOTE NA MAHALA POPOTE BILA KUJALI LOLOTE KWANI YEYE NDIYE MLINZI WA VYOTE VILIVYOPO ARDHINI NA MBINGUNI, TUJIANDALIE MAKAO YA AKHERA KWA KUWA SISI SI WA KUBAKI, UWE NA MALI, CHEO AU UFAHARI HUWEZI KUDUMU alt=""id="BLOGGER_PHOTO_ID_5637398090156328754" />
Post a Comment
Post a Comment