
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN UMEANZA KWA KUKAMILISHA SIKU 30 ZA MWEZI WA SHAABAN JANA WAISLAMU WOTE WAMEANZA KUFUNGA, LEO HII NI MWEZI MOSI RAMADHAN SAWA NA TAREHE 1, AUGUST!!! BLOG HII INAWATAKIWA WAISLAMU WOTE MFUNGO MTUKUFU WA RAMADHAN

Burudika, Habarika, Elimika
Twakutakia na wewe Ramadhani njema, tufunge kama itakiwavyo, siyo kama tutakavyo!
ReplyDeleteinshaAllah kila la kheri sote tumuombe Mola kwa uwezo wake tufunge kama atakavyo
ReplyDelete