UNAKUMBUKA ENZI ZA DISCO LANDAU MBEYA?
ILIKUWA NI ENZI ZILE ZA MIAKA YA THEMANINI WAKATI JIJI LA DSM WAKIWEPO AKINA DJ JERRY KOTTO NA DJ SEYDOU KATIKA DISCO LA 9000 MBOWE HOTEL, MJINI MBEYA KULIKUWA NA DISCO LANDAU AMBAO LILIKUWA LIKIWIKA KATIKA KUMBI MBALIMBALI ZA STEREHE KAMA VILE MBEYA HOTEL,MBEYA CLUB NA MBEYA GEUST AMBAKO DJ HASSAN LANDAU NA MUZIKI WAKE MAARUFU ULIOKUWA UKIFAHAMIKA KAMA DISCO LANDAU ULIKUWA UKIHANIKIZA ANGA LA MUZIKI NA KUWAPAGAWISHA VIJANA WA ENZI HIZO KATIKA MUZIKI AINA YA ROBOT,BREAKDANCE NA AINA NYINGINE NYINGI ZA MIONDOKO YA VIJANA.
Post a Comment
Post a Comment