LEO RAMADHAN 3
TUNAWASIHI WAISLAMU WAENDELEE KUDUMISHA AMANI, UNYENYEKEVU NA UMOJA KAMA VILE WALIVYOUANZA MWEZI HUU, TOFAUTI ZA ITIKADI NA KIMADHDHEBU MIONGONI MWA WAISLAMU ZIONDOKE,MWAKA HUU TUMESHUHUDIA WASLAMU WOTE WAKIFUNGA KWA MWEZI WA ULIMWENGU TOFAUTI NA ILIVYOKUWA KWA MIAKA MINGINE WAISLAMU WENGINE WANAFUNGA KWA KUTANGAZIWA NA TAASISI FULANI HUKU WENGINE WAKIFUNGA KWA KUSIKIA WALIOUONA MWEZI KATIKA MATAIFA MENGINE NA HATA WENGINE KUUONA KABISA LAKINI WAKIPIGWA MARUFUKU KUUTANGAZIA UMMA,
HIMA HIMA WAISLAMU SASA WAWE KITU KIMOJA KOTE DUNIANI KUSIWEPO NA HITILAFU AINA YEYOTE WAKATI WOWOTE HATA WAKATI WA KUANDAMA KWA MWEZI WAKATI WA KUFUNGUA.
TOFAUTI MIONGONI MWA WAISLAMU ZINASAMBAA NA KUJENGA CHUKI KUBWA KATIKA JAMII, WATU WANAOAMINI DINI MOJA, MUNGU MMOJA ALLAH(SWT), MTUME MMOJA MUHAMMAD (SAW)NA KITABU KIMOJA(QURAN)NA WANAOAMINI SIKU MOJA YA KUFUFULIWA HAWAPASWI KUTENGANA WALA KUTOFAUTIANA NA LOLOTE.
Post a Comment
Post a Comment