class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
Kushoto ni Mwandishi wa Blog hii akipata maelezo ya ziada kutoka kwa mlemavu huyu ambaye baadhi ya wasamaria wameonesha nia ya kumsaidia.
MLEMAVU aliyetolewa katika blog hii siku kadhaa zilizopita ameanza kupata matumaini ya kusaidiwa,wasamaria wema na watu wenye huruma ambao hawakupenda kutajwa majina yao wameonesha nia ya kumsaidia jamaa huyu ambaye maisha yake yote amekuwa akitembea kwa kutambaa....Tunatanguliza shukrani kwa wale walioanza kujitokeza kutaka kumsaidia mlemavu huyu.
Hatimaye jamaa huyu asaidiwa utaratibu unafanyika ili kukabidhiwa msaada ambao wasamaria wema wameutoa kwa jamaa huyu aweze kujikimu kimaisha
ReplyDelete