Mtiririko wa watu wanaohitaji msaada unaendelea katika Blog hii ambapo mkazi wa kijiji cha Hangomba kata ya Itaka wilayani Mbozi.
Bw.Muwanga,yeye ni fundi wa kushona nguo(Fundi Cherehani) anachohitaji ni mkopo wa kumuwezesha kuendeleza ufundi wake.
Huu ndio mwendo wake ameishi hapo kwa zaidi ya miaka 40 hajawahi kutembelea mjini, hawezi kutembea kwenda kokote.
Post a Comment
Post a Comment