Ads (728x90)

Msongamano nyakati za jioni na pilika pilika za kawaida huku baadhi ya wananchi wakipishana na uchafu ulioshamiri katika maghuba ya taka taka ni sehemu tu ya maisha ya Jiji hili la Kandoro aka Girini site.
Jiji ambalo kwa sasa pia limekuwa maarufu kwa upigwaji Nondo...ukigusa tu sehemu za vichochoroni na mitaa ya gizani ole wako!!!

Post a Comment

Post a Comment