Ads (728x90)

 Walinzi wa Kike (Bikra)wa Gaddafi ambao walikuwa wakimlinda Gaddafi aliamini kuwa walinzi hawa ni waaminifu kuliko walinzi wa kiume.
 Mke mdogo wa Gaddafi Sofia akiwa na wanawe (wakati huo)
 Mara zote Gaddafi alikuwa akitumia Hema kama makazi yake anapokuwa nje ya nchi yake
 Vikosi vya NTC vilivyoshirikiana na NATO kumng'oa Gaddafi na hatimaye kumuua kikatili kama inavyoonekana pichani chini.

Miili ya wafuasi wa Gaddafi ambao walipambana kwa hali na mali kumlinda kiongozi wao ambaye hatimaye aliuawa kikatili.

Post a Comment

Post a Comment