Ads (728x90)

 KARIBUNI!! KWA HUDUMA BORA ZA INTERNET! SCANNING,FAX NA BINDING,PIA TUNAAZIMISHA KAMERA ZA DIGITAL STEEL PICTURE NA SHOOTING,HUDUMA HIZI ZINATOLEWA KWA GHARAMA NAFUU KWA WANAHABARI AMBAO NI WANACHAMA WA KLABU YA WAANDISHI MKOANI MBEYA. 
 HUDUMA YA INTERNET IKO FAST KOMPYUTA ZA KISASA ZENYE KEYBOARD ZA KUBOFYA BILA KUTUMIA NGUVU,PIA UKIWA MBEYA PRESS INTERNET UNAWEZA KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA DUNIANI KUPITIA RUNINGA KUBWA ILIYOFUNGWA CHANEL ZAIDI YA 30.
UKIWA MBEYA PRESS INTERNET UTAHUDUMIWA BILA BUGHUDHA KWA UKARIMU NA UTAFURAHIA HUDUMA NA KUTAMANI KURUDI TENA.
NDANI YA MBEYA PRESS INTERNET KUNA HEWA SAFI INAYOTOKANA NA UPEPO MWANANA UNAOPULIZWA KUTOKEA KATIKA KILELE CHA MILIMA YA MBEYA,HUHITAJI KUWA NA KIYOYOZI UKIWA KATIKA CHUMBA HICHO!!!1 WANAHABARI WOTE MNAKARIBISHA KUPATA HUDUMA HII HAKUNA SABABU YA KUHANGAIKA KATIKA INTERNET ZINGINE.

Post a Comment

Post a Comment