MKUU wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro alikuwa ndani ya gari hili akivuka kutokea katika mradi mkubwa wa kilimo cha Umwagiliaji uliopo Naming'ong'o katika kijiji cha Nkala kata ya Chitete wilayani Mbozi, wakati Bw.Kandoro akiwa huku akijitoa mhanga kupita ndani ya maji marefu wamachinga Jijini Mbeya walikuwa wakipambana na askari Polisi na kusababisha vurugu kubwa,Bw. Kandoro alilazimika kukatisha ziara yake ya wilaya ,Mbozi na kurudi Jijini Mbeya kufuatia viurugu hizo. |
Post a Comment
Post a Comment