Dereva wa Kipanya kilichosababisha ajali Stanley Sengo akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya iliyopo mjini Vwawa wilayani Mbozi,hata hivyo dereva huyo aliamua kuulaza na kukimbia matibabu usiku wa manane akikwepa mkono wa sheria kutokana na ajali aliyosababisha.
Waombolezaji wakiwa ndani ya gari wakisafirisha mwili wa mmoja wa majeruhi waliokufa kwa ajali ya Kipanya iliyotokea Mahenje wilayani Mbozi.
Post a Comment
Post a Comment