KWAHERI MR EBBO
Nimepokea taarifa za kifo cha Mr Ebbo kwa huzuni kubwa!!Kwa heri Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi!!! Kw heri Mr Ebbo, Sisi tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi hatitaacha kukumbuka kazi zako makini na mahiri wasanii wengi wa kizazi kipya wanapaswa kuiga nyendo zako...KWA HERI MR EBBO
Post a Comment
Post a Comment