Ads (728x90)

Mkazi huyu wa kijiji cha Hasenketwa wilayani Mbozi akiwa amembeba mgonjwa mgongoni ili kumpeleka hospitali ya wilaya ya Mbozi iliyopo mjini Vwawa,tatizo la huduma za afya ngazi za vijijini limekuwa likiwakumba wakazi hao na hivyo kulazimika kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za matibabu.

Post a Comment

Post a Comment