Waandishi Mbeya walivyotia aibu wakati wa ziara ya Dk. Slaa mkoani Mbeya, wagombeana mshiko
Kumezuka malumbano makali miongoni mwa wanahabari wa mkoa wa Mbeya
wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroard Slaa kufuatia
waandishi wa habari wa magazeti ya xxxxxxxxxxx na Gazeti la xxxxxxxxxxkudaiwa
kuweka kibindoni mshiko wa Sh.300,000 uliotolewa na viongozi wa chama
hicho ili wagawane wanahabari wote walioshiriki ziara hiyo. Taarifa
kutoka katika ziara hiyo zinadai kuwa Mwandishi wa Habari wa gazeti la xxxxxx aitwaye xxxxxx ndiye aliyekabidhiwa Sh.300,000 akiwa na Mwandishi wa Gazeti la xxxxxx aitwaye xxxxxx wakawagawie wenzao. Hata hivyo katika hali
ya kushangaza waandishi hao wawili wakaamua kugawana wenyewe mshiko huo
kitendo ambacho kimeudhi waandishi wengine.(NIMEIKUTA KULE JF!! )
Post a Comment
Post a Comment