|
Pamoja na Jitihada za kuhamasisha wafanyabiashara ndogo ndogo kuwa na
maeneo maalumu ya kufanyia biashara zao bado Halmashauri ya Jiji la Mbeya
haijabudi mbinu mbadala kwa ajili ya kuwasaidia Machinga kuwa na eneo
maalumu la kufanyia biashara, hata hivyo wafanyabiashara hao wanadai kuwa
aina ya biashara wazifanyazo ni za kuwafuata wateja kule waliko huku wakizunguka na biashara zao mitaani, |
Wafanyabiashara hao wamekuwa wakionekana nyakati za jioni maeneo ya BP karibu na Benki ya Stanbic mkabala na Jengo la Mamlaka ya Mapato TRA iliyopo Uhindini Jijini Mbeya.
Post a Comment
Post a Comment