Ads (728x90)

Christopher Nyenyembe (katikati) akitafakari kwa kina baada ya kuonja ladha mbalimbali za vileo vinavyotengenezwa na Kampuni ya Bia Tanzania TBL siku ambayo wanahabari walialikwa kama wadau katika kubaini aina ya ladha za vinywaji vinavyotengenezwa na kampuni hiyo Jijini Mbeya.
Ofisa wa TBL akiowaonesha wanahabari moja ya mitambo ya awali katika uzalishaji wa Vileo walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Iyunga Jijini Mbeya.
Wanahabari wakiangalia namna aabavyo aina mbalimbali za Vileo vya TBL vinavyoweka kinywaji katika chupa kabla ya kufunikwa vizibo.


Post a Comment

Post a Comment