Katibu Mtendaji wa APRM Rehema Twalib akitoa ufafanuzi kwa wanahabari juu ya mikakati ya APRM kuwafikia wadau kote nchini ili kutoa elimu ya utawala bora katika nyanja za Kisiasa, kiuchumi na kijamii |
Mwenyekiti wa APRM Profesa Ruth Meena akizungumza na wanahabari malengo ya APRM katika kuhakikisha uwazi katika Demokrasia unaimarika na kusaidia uchumi wa nchi |
Mjumbe kutoka Mombasa nchini Kenya Profesa Ahmed Muhidin akisisitiza jambo katika mkutano wa utawala bora uliofanyika ukumbi ya Paradise jijini Mbeya leo asubuhi |
Wadau kutoka sekta mbalimbali Mkoani Mbeya wakishiriki mkutano wa kujadili Utawala Bora uliofanyika katika ukumbi wa Paradise Hotel na kuandaliwa na APRM |
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Bw. Said Amour Arfi akizungumza na wanahabari juu ya masuala mbalimbali ya uimarishaji demokrasia nchini katika mfumo wa vyama vingi vya kisiasa. |
Viongozi washiriki wa APRM |
Majadiliano APRM |
Post a Comment
Post a Comment