Waandishi wa
habari watatu Ben Kiko, Edda Sanga, Phiri Karashani wameteuliwa kuwania tuzo
ya waandishi mahiri waliofanikiwa
nchini.
Kwa mujibu
wa Katibu wa Baraza la Habari MCT, Kajubi Mukajanga ni kwamba waandishi hao nguli
wamejizolea sifa na walifanya kazi kwa umahiri na hata kuburudisha wasikilizaji
wakati wakitangaza.
Waandishi
hao pamoja na wandishi wengine wameingia katika mchakato wa kuteua waandishi
mahiri waliojitokeza kuwania tuzo ya umahiri ya Ejaat inayotolewa na Baraza la
Habari Nchini MCT.
Post a Comment
Post a Comment