Baadhi wa wakazi wa Jiji la Mbeya wakisubiri kupata huduma za upimaji wa afya uliodhaminiwa na NSF katika viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya |
Mkazi wa Jijini Mbeya (kushoto)akisikiliza ushauri kutoka kwa Daktari aliyekuwa aklimhudumia katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe. |
Mwanafasihi wetu aliyewakilishi Blog hii katika matukio ya NSSF akipata maelekezo ya upimaji afya kwa hiari katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya |
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF Bi.Theopista Muheta, Mwanafasihi wetu na Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt.Chomboko wakijadiliana baadhi ya mambo katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya. |
Ofisa Uhusiano wa NSSF Bi. Mheta,Meneja Mafao ya matibabu wa NSSF Ali Mtulia,Kaimu Mganga mkuu wa Mkoa Mbeya Dkt. Chomboko na.... |
Meneja wa NSSF wilaya ya Mbozi akitoa huduma za kujiunga na NSSF katika viwanja vya mjini Vwawa wilayani Mbozi. |
Wakazi wa wilaya ya Mbozi mjini Vwawa wakipatiwa huduma za upimaji kutoka kwa madaktari wa hospitali binafsi katika wiki ya Afya iliyodhaminiwa na NSSF. |
Post a Comment
Post a Comment