Kwa masikitiko naomba kutoa taarifa hii, iliyonifikia jioni ya leo...........
  
 Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya new habari (2006) ltd, bwana Hussein 
Bashe , leo amempiga mfanyakazi wake bwana fred okoth. kipigo hicho 
kilimshukia bwaa okoth baada ya kudai kuwa bwana bashe amekuwa ni sehemu
 kubwa ya kurudisha nyuma tasnia ya uandishi wa habari, kwa kuendeleza 
maslahi binafsi, kutowalipa mishahara. bwana Okoth aliendelea kuwa , 
bwana bashe ni mbadhilifu baada ya kutafuna shilingi milioni 40 
zilizotolewa na TANZANIA MEDIA FUND (TMF).Hao ndipo bwana bashe 
alipopatwa na hasira na kumshusia kipondo mwana habari huyo.
  
 
baada ya purukushani hilo bwana bashe alimpiga mwana habari huyo kwa 
tube light ambayo ilipelekea kupasuka kichwani na kushonwa nyuzi 3. 
bwana bsge ajulikani aliko.CHANZO FB YA CYPRIAN MUSIBA
Blog hii inatoa masikitiko makubwa juu ya kitendo alichofanyiwa Okoth na inatoa angalizo kwa serikali na kuiomba ichunguze kwa kina mila na desturi za Bashe, kwa kuwa ni nadra kwa desturi za watanzania kuwa na tabia hii, nakumbuka wakati wa mchakato wa kuwania ubunge jamaa huyu alielezwa kuwa c raia wa hapa nchini, inawezekana kwa namna moja ama nyingine tabia hii ni mila na desturi za huko kwao na inawezekana kabisa baada ya kufanya kitendo hicho amekimbia nchi...Uhamiaji hebu fuatilieni uraia wwa huyu mtu
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
    
 
Post a Comment