| Mkuu wa wilaya ya Rungwe Chrispin Meela akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa Ikulu ndogo Jijini Mbeya | 
| Meela na Wanahabari Ikulu ndogo Jijini Mbeya | 
| Waalikwa wakati wa kuapishwa wakuu wa wilaya Ikulu ndogo Jijini Mbeya | 
| Jamaa na marafiki wa Mkuu wa wilaya ya Ileje wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mbeya | 
| Zawadi na taji hazikukosekana wakati wa kumpongeza Mkuu wa wilaya Ileje leo asubuhi | 
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Mbarali mara baada ya kumuapisha | 
| Picha ya pamoja na familia ya Mkuu wa wilaya ya Rungwe Bw. Chrispin Meela | 
| Mkuu wa wilaya ya Momba Bw. Abihudi Saidea akipokea zana za kufanyia kazi kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro mara bada ya kumuapisha leo asubuhi | 
Post a Comment