|  | 
| Ajali hiyo imetokea majira ya mchana wakati basi hilo likiwa safarini kuelekea Tukuyu wilayani ambapo Lori lenye Trela lilikuwa likielekea Jijini Mbeya kutokea Tukuyu wilayani Rungwe. | 
|  | 
| Majeruhi wa ajali hiyo wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa Jiji Mbeya na miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitalini hapo. | 







Post a Comment