| BABA WA MAREHEMU WILLY MZEE EDWARD OGUNDE AKIAGA MWILI WA MWANAYE | 
| BAADHI YA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKISHIRIKI KUSHUSHA KABURINI JENEZA LILILOBEBA MWILI WA WILLY EDWARD | 
| WAOMBOLEZAJI WAKIWA WAMEJIPANGA MSTARI KUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLY KABLA YA MAZIKO MUGUMU SERENGETI JANA | 
| SEHEMU YA UMATI WA WAOMBOLEZAJI WALIOHUDHURIA MAZIKO YA WILLY EDWARD JANA JIONI | 
| MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI ABSALOM KIBANDA AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLY JANA JIONI | 
| MKUU WA WILAYA YA MAGU JACQULINE LIANA AMBAYE PIA NI MWANAHABARI AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLY | 
| MJANE WA MAREHEMU WILLY EDWARD AKIUAGA MWILI WA MUMEWE WA KUUBUSU KABLA YA MAZIKO JANA MCHANA | 
| WATOTO WA MAREHEMU WAKIWEKA SHADA LA MAUA KABURI KWA BABA YAO WAKATI WA MAZIKO KIJIJINI MUGUMU SERENGETI JANA JIONI | 
Post a Comment